Duration 4600

KUTUTOKA MAALIM SEIF NDIYO MWISHO WA UPINZANI ZANZIBAR

111 watched
0
3
Published 18 Feb 2021

Je, kututoka kwa Maalim Seif Sharif Hamad ndiyo mwisho wa siasa za upinzani visiwani Zanzibar?, ungana na Masoud Kipanya & Rahma Mwita leo kuanzia saa 1 kamili za usiku wakiwa na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Said Msonga wakijadili hili kwa kina. Ni kupitia king'amuzi cha DStv channel namba 294. #Mtazamo #ZaidiNaZaidi

Category

Show more

Comments - 0