Duration 1:5:38

Bongo Star Search 2021 Episode 03 Mbeya

216 342 watched
0
2 K
Published 21 Nov 2021

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel Bongo Star Search Follow Our Pages Facebook: http://facebook.com/BongoStarSearch Twitter: http://twitter.com/BongoStarSearch Instagram: http://instagram.com/BongoStarSearch SnapChat: BongoStarSearch TikTok: bongostarsearch Channel Administered by Slide Digital Instagram: https://www.instagram.com/slidedigitaltz

Category

Show more

Comments - 282
  • @
    @ttelinealice27133 years ago Honestly we need the other guy back he was funny! 18
  • @
    @kerub_odolly24053 years ago Where do people buy thisanyway if you are watching from tusalimiane hapa. 28
  • @
    @johnsonkanyembo49953 years ago Bonsoir chers juges je voudrais un peu avoir plussur les artistes qui veulent tenter leurs chances de participer dans votre chalange mais qui ne sont pas de votre nationalit? 11
  • @
    @iddimngazija19573 years ago Kutoboa kwenye bongo star search nikazi unaimba huku unachambwa. 15
  • @
    @samwelnyange98433 years ago Elisha amekosa mentor. Nisamehe kama nimekosea kuandika. Lakin ameshiriki 4 time. Huyu jamaa ana kipaji nafikiri angepata mtu anayejua soko la muziki id="hidden2" huyu elisha ni star kabisa bss najua wanaweza kumpa mwongozo wa nni hafanye. Maan mmi naona kuna namna anaweza kutoka bila bss. ...Expand 24
  • @
    @barakadaudi36843 years ago Katika show ninazozipenda bongo starch. 4
  • @
    @vivianakarlla86243 years ago Ommy and stick-on guy made me cry, plz ommy help that guy. 3
  • @
    @esthertheoracleofficial2 years ago Elisha nailed it. Cause you are my fantasy.
  • @
    @ahdurur15183 years ago Salam elewa watu ni wanadamu wanamioyo pia. 4
  • @
    @boscojoel35623 years ago Salama acha roho mbaya kwan ww unaweza kuimba unawavuja moyo watot wawt kwan kama hawez kuimba cumwmbie kawaid ty mpka umseme vibaya. 3
  • @
    @djumadjumbe6907last year Salama rekebisha tabia, nazani kila mtu ameona alivyo pita
    dimpoz big up sana uli sakimia wana bila kujali ni watu gani.
  • @
    @bernardmwambajr.44843 years ago Salama dont know what shes looking for. 6
  • @
    @n.d_mastersofficielle23693 years ago Hivi bongo search pia yaweza endelezwa mpaka kenya sisi tutashukuru. 5
  • @
    @beatricegershomu93503 years ago Big up my friend elisha kama buti mno. 1
  • @
    @mercydeo40403 years ago Hivi mmemuona salama alivyoingia jamani hadi watu wanaogopa kumshika lol. 2
  • @
    @salminasalim56303 years ago Sio vizuri kupingana jamani salama hapo naushauri unatakiwa kududi mtu asipate misongo mwitu. 1
  • @
    @shaibinhojr3209last year Nakubali san chama hili la boss.
    salama na master j. Mm ni moja fan base wenu muhimu.
  • @
    @allymatilda75193 years ago Daah ommy dimpomz ni fala sana ommy ni comedian. 10
  • @
    @Creatorworkplace3 years ago I watching this drunk and watched ommy as khaligraph jones. 3
  • @
    @lilianpeter39503 years ago Kudadadeki omy dimpo nakupenda omy dimpo naomba niwe mtumwa wako. 2
  • @
    @martinkalu47603 years ago Salama acha kubana sana ma underground. 1
  • @
    @emmanuelkombe73323 years ago Ila mwaka huu master anahuruma jaman salama wauwe. 2
  • @
    @evansmumo39213 years ago Hyo dem ameimba ngoma ya otile brown amenibariki. 1
  • @
    @tumpenaboth7993 years ago Jamani elisha inatakiwa ujishushe mungu atakusaidia.
  • @
    @sophianguve75853 years ago Mshiriki namba 3 anafanana na aristote. 6
  • @
    @duniawadunia48243 years ago Live performance ndo tunataka kabla ya hii acheni upuuzi bss vipande vyote tushaona weeks 4 sasa. 2
  • @
    @georgenorasco17052 years ago Nibora itenganishwe mashindano ya nyimbo za kidini na nyimbo zingne kuwe na pande mbili za majaji.
  • @
    @badmanno.16503 years ago Huyo jamaa watatu bro hajui kukata tamaa. Keshashiriki mara kibao alafu anaimba wimbo huo bana. 1
  • @
    @ammotv57873 years ago Awape moyo watu wajitahid asa yeye ana mvunja mtu moyo. 1
  • @
    @Saad_Games013 years ago Chief judge fanya msimu ujao usimuweke salama maanake anakatisha tamaa hata wale ambao wanaohitajika kuongeza vipaji vyao tafadhari mtafute mtu kwenye busara kidogo. Itakuwa vizuri pia kumrudisha host wetu idris sultan. 3
  • @
    @mahmoodelmi3 years ago Salama kwanini anamajibu mabaya kama hatokua na shida siku moja. 2
  • @
    @rukundogaston6240last year Natamani sku moja bongo star search wakose hata mshiriki mumoja ili wakome. Wapuzi wanazingua washiriki.
  • @
    @johnbernad39902 years ago Salama utakuja kurogwa unawakatisha sana tamaa watu.
  • @
    @veronicahngina14752 years ago Hawa judges walitolewahere for the judges basii.
  • @
    @shakilasharifa96 months ago Jamani humu ndani kuna burudani jamani.
  • @
    @deuspascal9783 years ago Dah huyu mkongo wasimuache please, Anajua sana 2
  • @
    @samsonthoya31583 years ago Salama unakula nn wewee. Hyo jamaa wa gita kaua. 4
  • @
    @halimahashim989111 months ago Salama ana mdomo hata wenzake hawapi amani kha.
  • @
    @mdmohammed94118 months ago Huyu salama anaroho mbaya. Unawakatisha watu tamaa.
  • @
    @nenenongi663 years ago Jamani wewe mtangazaji kitulo haipo mbeya iko makete-njombe tafadhali. 2
  • @
    @elieneapalangyo69383 years ago Ukweli majaji mnafaidi sana na vichekesho. 2
  • @
    @sitiabubakar28923 years ago Bro kitaulo vipi meenaleo mm nacheka mpka basi yaani.