Duration 4:00

NI MWEZI WA MAMA MARIA

1 006 898 watched
0
3.8 K
Published 1 Oct 2021

Kwaya ya Mtakatifu Monica, Kutoka Parokia teule ya Mtakatifu Monica, Langoni Moshi, wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu maalum wa mwezi wa Mama yetu Bikira Maria.Wimbo huu umetungwa naye Sebastian Ndibalema na kuimbwa na Kwaya ya Mtakatifu Monica.Kwa namna ya pekee wanamshukuru Mungu kwa kuweza kufanikisha kazi hii yenye lengo la kuinjilisha.Wanamshukuru pia Baba Paroko Fr Beatus Vumilia kwa ushirikiano Mkubwa.Audio na Video vimefanywa na RAJO Productions na Kinanda kimechezwa na Ray Ufunguo.Karibuni na Mungu atubariki sana. #rajoproductions #miminaneema #asanteyesu

Category

Show more

Comments - 476