Duration 9:15

Nimeweza Kufuga Kuku wa Kienyeji Kibiashara, Usiache Kujaribu Hawa Kuku ni Biashara

27 082 watched
0
204
Published 30 Nov 2021

Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara, umegubikwa na maneno mengi sana ya kukatisha tamaa. Maneno kama kuku wa kienyeji wanakua taratibu sana, hawana uzito mkubwa, wanataga mayai machache, gharama za chakula zinaenda juu zaidi. Wapo waliokata tamaa kwa kusikiliza maneno hayo, lakini tupo tulioamua kuziba masikio na kukomaa kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara na inatulipa. Niliamua kufanya utafiti kupitia maneno yanayo sambaa kuhusu ufugaji kuku wa kienyeji na kile nilichokipa nimekielezea kwenye video hii. Tazama mpaka mwisho ujifunze mengi kutoka changamkia fursa. #kukuwakienyejiwanalipa #ufugajiwakukuwakienyejikibiashara #kukuwakienyejinibiashara

Category

Show more

Comments - 36
  • @
    @ggmmjasiliamalionline27463 years ago Nasikia watu husema unaweza ukajenga bwawa chini la samaki kisha juu unaweza kuweka banda la kuku wakimaanisha kwamba kinyesi cha kuku ni chakula kwa kambale ikoje hii mkuu. 3
  • @
    @user-qg8ic3oc5y10 months ago Ukuna changa moto yeyote kwenye kuku wakienyeji.
  • @
    @ggmmjasiliamalionline27463 years ago Yani kila napotafuta elimu nzuri kuhusu ufugaji lazm nikutane na changamkia fursa. 2
  • @
    @denissemwenda40372 years ago Naomba kuuliza swali hili, kuna uwezekano wa kuchanganya chanjo za chupa mbili tofauti yaan kama gumboro na new castel na kuwapa kwapamoja au kuna madhara . ...Expand 1
  • @
    @princeclever37743 years ago Haujawai kuniacha empty broo thanks. Kwa kupitia changamkia fursa nishaanza ufugaji wa kuku. 5
  • @
    @VickyMsuya-ho1if6 months ago Tuandikie namba nahitaji vifaranga vya croiler.
  • @
    @seifsaidi99113 years ago Shukran sana, je kuna fursa ya kuwekeza katika hii biashara ya kufuga kuku wa kienyeji. 2
  • @
    @aurelianimtundu8522 years ago Tafadhari naomba namba ya cm nahitaj vifaranga.
  • @
    @lawrence85973 years ago Umesema una kitabu, je,
    kitabu ni silingi ngapi na kinapatikana wapi?
  • @
    @olelilawola84493 years ago Safi kwa elimu nzuri na endelevu, tuwekee basi mawasiliano ya wauzaji wa concetrates. 1
  • @
    @julianaharrison43563 years ago Nafuga kuku wa kienyeji wanataga mayai 12, 15, 18, wengine mpaka 20 kuku wa kienyeji watu hawapi chakula ndio maana wanaona hawana faida. 7
  • @
    @nancylubango63943 years ago I want to join next classes plz when next?
  • @
    @ramadhanijumalipala66353 years ago Kipimo cha chakula kwa kuku wa kienyeji je ni sawa na kile cha broiler au chotara?
  • @
    @geraldntalondo61103 years ago Nitawapataje sasa hasa wa mwezi mmoja na ni bei gani kwa kila kifaranga nataka 200.