Ex-Pastor Ibrahim akitoa changamoto katika kituo cha Al-Bayaan Dua Centre Jumapili Tarehe 29 Novemba 2020. Kwa video zingine za Ex-Pastor Ibrahim bonyeza hapa - https://youtube/c/ExPastorIbrahimXP
Tunawakumbusha kutufuata katika tuvuti yetu ya *YouTube* ili uweze kuunganishwa kwa live programs zitakazoanza kupeperushwa hivi karibuni.
*Kumbuka ku share ujumbe huu kwa wingi iwezekanavyo* watumie wote uwapendao.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi Al Bayaana Dua Center +255653732303
Ili Ku *Subscribe* kwa channel yetu bonyeza hapa
/channel/UCE7m1DbS8tE4kY-D_KeZRVg