Duration 7:43

MAMA AOMBA MSAADA MWANAE AWEZE KUPATA MATIBABU/ALIGONGWA NA BAJAJI/MTOTO AMELAZWA MUHIMBILI

7 039 watched
0
96
Published 22 Jun 2021

Mama huyu anaomba msaada mwanae amegongwa na bajaji maeneo ya Magomeni kwa bibi Nyau mtoto yuko Muhimbili mama alikuwa anaomba msaada wa pesa ili mtoto apate matibabu. Vilevile wakazi wa eneo hilo wametoa malalamiko yao juu ya barabara hiyo magari kuwa mengi na hivyo watoto engi wamekuwa wakigogwa hivyo wameiomba Serikali waweze kuwekewa matuta

Category

Show more

Comments - 40