Mjadala tumeuanza kwenye Pre-XXL on Twitter Space ya Clouds Media kujadili mazito yanayoikabili sekta ya Sanaa, muendelezo ni sasa kwenye #XXLYaCloudsFM • Tune to The People Station Clouds FM •
Pre-XXL inaruka kila siku saa 6 mchana kupitia Twitter Space ya CloudsMediaLIVE on Twitter •