Duration 1:29:54

Mpya SIMULIZI YA KIJASUSI: MPANGO WA NJE 1 NA 2 season I BY D'OEN (soma description)

14 864 watched
0
181
Published 7 Dec 2021

Madaktari wawili bingwa wa magonjwa sugu wanapotea nchini Tanzania ktk mazingira ya kutatanisha... Wanausalama wanapewa kazi ya kuchunguza ilikuaje na wako wapi.. ila kutokana na kuonekana kwamba baadhi ya wanausalama hao walihusika kwenye huo mpango hivyo report inayotelewa haina mashiko kabisa.... Miaka 20 baadae mwanadada Catherine Jasusi(mwanausalama) nambali mbili kutoka Tz anapewa misheni ya kuwatafuta au awarudishe wazima au arudishe mifupa na hii ni baada ya uchunguzi wa Awali kuonyesha kwamba madaktari hao walekwa na kupelekwa nji ya jirani kwa MPANGO MAALUMU WA NJE YA NCHI... sasa cathe akatua huko na kukutana na mauaji ya kutisha yanaendelea bila kumjua nani muuaji ndipo anijikuta yupo kwenye PIGO BUTU LA KIFO... lakini Mwanamke hana mpango wa kurudi nyuma ni au arudi na madaktari au urudi na mifupa yao maana ni miaka 20 tangu wametoweka... Sasa moto wake hapo sio wa kupimika ni fayaaa.... Sasa mkasa mzima unaanza hiviiiiiiii Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa /simulizimix /simulizifupi

Category

Show more

Comments - 33