Duration 15:31

HEKAHEKA: Ndugu wapewa maiti isiyo ya ndugu yao na kuzua taharuki Katavi

10 276 watched
0
21
Published 23 Feb 2017

Leo February 23 2017 kupitia hekaheka ya Leo tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ameileta inayotokea Katavi kuhusu ndugu waliopewa maiti ambayo si ya ndugu yao na kuambiwa kuwa ile ya ndugu yao imechanganywa na imeshazikwa na manispaa.

Category

Show more

Comments - 10