Duration 3:18

Maafisa kumi wa KDF wafariki kwenye ajali ya helikopta

44 254 watched
0
214
Published 24 Jun 2021

Maafisa kumi wa KDF wafariki kwenye ajali ya helikopta Maafisa wengine 13 walijeruhiwa na kupelekwa hospitalini Helikopta ya kijeshi ilianguka eneo la Ol-Tepesi Ngong, Kajiado Helikopta ilikuwa kwenye shughuli za mafunzo ilipoanguka

Category

Show more

Comments - 58