Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#rayvanny
#harmonize
@sayianmadara72864 years agoHell to the yes! Im happy for you rayvanny. 1
@
@neliusplatnumz35544 years agoHatimae sasa wcb inabaki kama wcb waongonza kila kona wcb for life baby fire. 28
@
@officialmrtop10184 years agoRayvanny mkali now ana 1. 84m akiwa ame appload 506 videos! Harmonize ana 1, 83m akiwa ame appload 665 videos! Vanny kiboko. 12
@
@aldenyfude17384 years agoRayvanny ni msanii mkubwa lakin nashangaa kwa nn huwa wanamtaja alikiba wakat anaanzathen rayvanny. 24
@
@denisksylivester78464 years agoRayvanny aongelew sana ila kwenye platform na mauzo ya mzki anafanya vzr zaid kulko harmonize. Ila nahis konde boy anajua kutengeza kiki za kuongelewa kuliko vanny boy. 26
@
@johnsilima16294 years agoNi noouma na hata list ya wasanii wenye viewz wengi kwa mwezi huu lazima rayvany amzidi harmonize. 14
@
@juniorcx01144 years agoVivav boy namkubali sana ntamsapot mpaka mwisho tuungane tumsapot had amzid mbal huyo mmakonde. 1
@
@almasially65094 years agoAssume rayvanny nayeye angekuwa anatoa back to back kama huyo mla panya. 16
@
@hassan02564 years agoMiddle wewe unaangalia youtube tu lakini huko spotify ray van anayo 430k monthly listeners wakati konde anayo 78k so unaweza kuona kua kimziki husus id="hidden2"an kwenye hizi platforms rayvanny ni mkubwa kuliko konde ila konde ni star tu but musically niwakawaida sana. ...Expand24
@
@emilymideva87834 years agoCongratulations vanny boy lv frm saudia arabia #254. 1
@
@rashidnasoro10654 years agoNa ndio msanii wa kwnza east africa ndio pekee mwnye tuzo ya bet. 8
@
@sinner68084 years agoMe nataka atoke wcb ndiokama bado yuko wcb no need to compare them. Ana walk na diamond shadow. 5
@
@Ryoof-qo7if4 years agoIla watanzaniya mwapenda sana kugombanisha sana hawa wasani wenu yani kuwafugiya chuki moyoni tena nyinyi watangazaji ndo mwapenda kukusha hizo mambo.
@
@speriasmohamed56044 years agoCha kwanza harmonize hana content za kumshinda ray cha pili middle mwisho wa mwaka tunaombaa n kina nan wametowa kaz nying zaid mwaka huu cha pili daah diamond mwaka huu katoaa ngomaa moja tu daah. 5
@
@jeffs90174 years agoLike yangu wa kwanza acheni zenu ray mbayaa. 14
@
@israelmsemwa78674 years agoNawewe tunakupigania ufikishe 1m subscribers. 1
@
@tariqdasulley67594 years agoBro middle simba eeh! Fanya kuangalia na kwenye platforms zingine uone jinsi gani rayvanny anampita kwa kiasi gani harmonize. Harmonize msanii mzuri ila. ...Expand11
@
@israelmsemwa78674 years agoMiddle simba nakukubali nlikua nasubiri kama hujaona.
@
@kaburaakbar48384 years agoChui vanny boy uyo korosho niwa kushindana na lav lava tu. 7
@
@richlymo4 years agoNgoja harmonaize achie ngomaa mojaa anapitwaa kama upepo wakisuli suli tupo bize na ccm kwanzaa. 1
@
@ezapesambili21304 years agoVvany boy kwakuwa kampita bas hatawoza kushushwa tena na harmonz. 1
@
@wilsonkampama54364 years agoMinilijua tyuu ila nkasema acha vitendo viongee haya sasa. 24
@
@orestehavyarimana58064 years agoKumpita subscribe sio tatizo mbn pako wanasi wakubwa tu duniani na hawaba subscribes wengi hilo ni kawada konde boy jeshiii forever.
@
@laurenkalonga22864 years agoNdo vanny boy wcb huo harmonz arijitoa kisa ajishindanisha na mond ila hato pata nafasi hio hongera sana vanny boy tuna wahidi tupo nyuma yenu.
@
@juniorcx01144 years agoMmakonde hajui sema mpenda kiki tu nimtu anae penda awe anaongelewa sana kwenye mitandao tu kiki ukoo wa hamorapa ray vanny kwa kuimba fund sema tu hapendi kiki.
@
@eddyboycharming24744 years agoNikona swali, kwani kuwa na idadi ya subscribers wengine ndio inafanya msanii kuwa mkubwa? 2
@
@bravo38474 years agoRay vanny msani mkali sana kwa ubali ukimlinganisha na harmonise. Sijui kwa nini anachukuliwa poa tu? 7
@
@enoughvove15134 years agoMan nguvu za harmo siza ry tefautisha kulelewa na kuwa boss wa gengar mziki mzuri ni mzuri tu ata iweje kesho nipa zuri kuliko leo so acha kujizalilisha.
@
@christianfelix24904 years agoDah et tumuache diamond ashindane mwenyewe.
@
@fumboog32854 years agoKama mwanzo mwaga udaku middle simba wanangu wa wcb tupeane lek amaboko titititi amaboko. 1
@
@traffixfahm33684 years agoMiddle simba mbona hautuambi na kutupasha kuwa simba diamond platnumz kamnunulia zari the boss lady bentely g continental bana ee bonge la ndingaa middle simba. 1
@
@nasriashel57174 years agoHarmonize mchumba yule bado mbosso atamzidi nayeye. 4
@
@yahayaplatnaumz71974 years agoSisi ndy tm wasafi hamna kama sisi tutakuwa juu kila siku itwayo leo.
@
@abunaaally84984 years agoHarmonai kalala san ndoma ya maboko ndoimempa. 1
@
@stivumgao1054 years agoTusha kuzoea ww una maajabu kazi ya kuponda harmonize. 1
@
@johnsilima16294 years agoMiddle tunaomba uanzishe battle la rayvany na konde sio kwa diamond maana rayvany anamzidi vingi harmonize maana hata tuzo anamzid.
@
@wasafiwasafi7344 years agoKama unakubali chui pig like apo chini. 2
@
@afterfull-time13484 years agoRivanny ni bora kwa kila kitu kwa harmo sema tu media zinalazmisha kumkuza ila wajanja tunajua kuna weengi wa kutajwa kabla ya harmo yy aendelee kutumia. ...Expand
@
@dominikishilali1944 years agoUna jua uyo kwa kua yuko na smba ila aoige peke yakao.
@
@Travelling_Experience4 years agoDiamond platnumz alivyo hongea na harmonize ccm. 1
@
@mathayoakili17624 years agoAre you crazy bro why harmonize when he get more subscribe mbona amu tagazi. 9
@
@ramsojunior21154 years agoWabongo mmenishinda asee, yan rayvanny kumzid harmonize imekuwa ongera kwake.
@
@vitusemmanuel93804 years agoHuyo vanny anatembelea nyota ya simba kama anaweza atoe nyimbo pekeake. 1
@
@mussaabobakar75374 years agoLkn konde boy yeye pesa yote inaigia kwake uyo mwengine yeye anasubur mgao mjue sijui apate babu tale salma mkumbwa fela ofs ibak pesa ndoaje kupata yeye lkn konde pesa yote inaigia kwake moja kwa moja.
@
@sitofosiclassic41234 years agoMiddle simba naomba ufikishe hii kipaji Wasafi kutoka kenya
@
@abeltuyisenge47944 years agoStop that middle how many months harmo has been with more subscribers than rayvan. Just wait to see how long he can take number 2 on subscribers. Yebaba.
@
@danielkiroka63314 years agoUnajua nyie umunapotesa mda konde boy yuko kama yeye vanny boy yupo chin ya wcb nan mkal kama yeye mkal bac atoke wcb alafu washindane na alafu ndio tuone konde ndio kwanz anamia 4 kwenye game lakin anawatemesha supu nyambafu kama yeye kidume atoke ajitegeme tunampa miwez 3 tu. ...Expand
@
@ismailmahamudu80264 years agoUpuuzi tu, wizkid(star boy) ana 1. 23m inamaana vany boy ni msanii mkubwa kuliko wizkid?
@
@lamecksaimon64944 years agoSawa kamzidi ndio, je rayvany anapesa kuliko harmonize! Harmonize yuko ju ya rayvany hata yeye analijua ilo.
Related videos for Hatimae RAYVANNY ampita HARMONIZE idadi ya subscribers,anashika namba 2 baada ya DIAMOND,tazama hapa:
ntamsapot mpaka mwisho
tuungane tumsapot had amzid mbal huyo mmakonde. 1
mbn pako wanasi wakubwa tu duniani na hawaba subscribes wengi hilo ni kawada
konde boy jeshiii forever.
ray vanny kwa kuimba fund sema tu hapendi kiki.
wizkid(star boy) ana 1. 23m inamaana vany boy ni msanii mkubwa kuliko wizkid?