Duration 7:40

WAZIRI MKENDA Atinga BANDARINI Kujionea MBOLEA IKISHUSHWA, Atoa KAULI HII

1 368 watched
0
7
Published 20 Jul 2021

WAZIRI MKENDA Atinga BANDARINI Kujionea MBOLEA IKISHUSHWA, Atoa KAULI HII... Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili nchini akitokea nchini Morocco ambapo pamoja na mambo mengine katika ziara yake hiyo aliitembelea kampuni ya uuzaji wa mbolea ya OCP ili kuendelea na mkakati wa serikali katika kuhakikisha kuwa mbolea inapatikana kwa wingi nchini. Akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja katika bandari ya Dar es salaam tarehe 20 Julai 2021 Waziri Mkenda amesisitiza kuwa Serikali inaendelea na mkakati wa kuhakikisha inadhibiti ongezeko la bei ya mbolea. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 4