Assalam alaykum,
Hii ni recipe ya wali mtamu wa kupindua unaweza kutumia kitoweo chochote lakini inapendeza zaidi ukitumia kuku au nyama ya ng'ombe.
Mahitaji;
1. Viazi mbatata vikubwa (6 hadi 10)
2. Vitunguu maji vikubwa (3 hadi 5)
3. Biringanya kubwa moja au mawili
4. Carrot 1
5. Pilipili hoho moja kubwa
6. Tangawizi na thom
7. Masala ya kuku au nyama
8. Pilipili manga na chumvi
9. Kuku au nyama ya ng'ombe
10. Mchele wa pishori/basmati vikombe vinne
11. Soya sauce
Chumvi niliweka kwenye kuku na wakati nachemsha wali. Haina haja tena kuongeza.
Natumai mmependa na kufurahia ahsanteni na karibuni.
Category
Show more
Comments - 22
Related videos for Jinsi ya kupika Wali wa kupindua maklooba: