Duration 29:42

PISHI LA SUPER DADA LAFANYA SWEBBE NA DR KUMBUKA WAMPE NAFASI

8 617 watched
0
88
Published 12 Aug 2021

Category

Show more

Comments - 40
  • @
    @rahmaramadhan97733 years ago Kipindi mashallah dina nawapenda sana jamani hongereni kumbuka na swebe mna changamsha sanaaa.
  • @
    @mamunote35073 years ago Asanteni sana uhondo mungu awabarikie sana.
  • @
    @estherjulita44902 years ago Jamani nafanyakazi yanyumba jamana nawasikiliza sisi atuna mashetani bwana.
  • @
    @namirihamisi38993 years ago Swebe ubungo na baruti mbona karibu au umehama? 1
  • @
    @yusrasalum3 years ago Dina waulize na mishahara yao wawe wanalipa vizuri sio ukae na dada miaka kumi unamlipa kwa mwez elfu 20 wakiondoka hawana kitu. 1
  • @
    @floramlowe70783 years ago Kweli sikuhizi tumekalili ukiona rafiki wa kike na kiume ujue kuna jambo lkn mi naona niushamba na inawezekana tu.
  • @
    @mamunote35073 years ago Mm ni me leave mwenyewe watt wangu na huku ninakorofisha kazi zangu binafsi.
  • @
    @rhdimpoz60193 years ago Maa shaa allah nami nikirudi ughaibuni nitawapikiaa hahaha. 1
  • @
    @naidasuleyman60053 years ago Lol kumbuka kanishinda tabia kwa kwelii mashavuu makubwaa kwa kupuliza motoo mhhjh.
  • @
    @dothosalum50983 years ago Mmenichekesha hapo mashetwani, hiyo ndio stahili ya ughaibuni. Ukichoka job unaamsha mashetwani ya kihind kiarabu kizungu kiswahili tickets fasta. 1
  • @
    @zeinababdi47573 years ago Wanawake huko bongo wanajidekeza, mbona wengine tunafanya kazi nje ya nyumba na bado tunalea bila hao wadada wa kazi. Pls.
  • @
    @aishaally27303 years ago Wamama wa leo labda huko tz sie wanje mtu unabeba mimba na unawatt nakazi zote za nyumba unafanya alhamdulilah watt wanakuwa na tunazaa mpaka watt sita.