@gracegrace62003 years agoNape ni mmoja wa wahuni sugu ndani ya ccm. Mama lazima ufunguwe macho, tangu hayati magufuli ametuacha. Wahuni wengi wamejitokeza na kuharibu kukuonyesha. ...Expand1
@
@lameckbalekere19623 years agoKwenye bwawa la nyelele january makamba ataki umalizwe mtoehapo. 10
@
@wilbardvalerian65563 years agoHongera sana madam president. keep it up! We will continue supporting you and your govt. 2
@
@raygamba1743 years agoSafi saana, mungu ibariki tanzania, mungu akubariki mama samia.
@
@hamisisaidi24713 years agoLeo mama nimekuelewa sana achana naspika anasema nchi itapigwa mnada. 3
@
@eaglecrown11013 years agoMama komaa mama. Please tubuludishe mama. Mungu akupiganie. 2
@
@mahobesiku59213 years agoHapo umenena, lkn kua makn na baadhi ya wasaidiz wako wanakuangusha. 3
@
@salsoandreas51473 years agoWatu wako wanakuangusha sana sio waaminifu wana kwiba sana. 5
@
@wangwemseti75923 years agoMama barabara ya sirari to arusha ijengwe haraka tena kwa kiwango cha lami hii barabara ni muhimu kwa watalii pale serengeti. 2
@
@samwelsamson41353 years agoIla mladi wa umeme kwss unaenda kama mwendo wa kinyonga tofaut naspd ya mwanzo mama ilo unalisemaje. 2
@
@julianmadosh29513 years agoTangu upeapishwa leo ndo hotuba yako nimeielewa nahic tutafika. 6
@
@samwelsamson41353 years agoUspokua makin bwawa la nyerere mwaka unaoanza kesho utaisha utaona mafundi wanakaa sait hakuna kinachoendelea angalia gess ya mtwara inafaida gan kwa watanzania maana ges imepanda sana halafu ilo jambo haliongelewi. 2
@
@meckymwandambo64783 years agoHongera raisi wetu jisimamie hivyo hongera sana kwa kujisimamia.
@
@abdallahhaji37933 years agoMradi wa bwawa la umeme ukimalizika utakuwa wenye manufaa makubwa kwadua kasi iongezeke kwenye ukamilishaji wa miradi. 2
@
@jonasjoseph42883 years agoNgoja tuvite subira tukitarajia mazuri. 1
@
@mosaidi26333 years agoMununue reli iliyo na mwonekano wa kisasa. 1
@
@bobdeobobdeo80263 years agoNakulewa mama endeleza mapambano hawa watukabisa.
@
@charlesandrea37463 years agoTatizo mikopo inaumiza mbona mlianzisha miradi mingi kwa pesa zetu wenyewe, mama tusiwe na haraka tumtangulize mungu kwanza na mtumie mbinu ambazo mlizitumia pesa mkapata hapa bila kukopa, sisi ni matajiri.
@
@vincentmanyama38083 years agoKuhusu kuchelea mradi nyenye mbona husemi.
@
@zengomikomangwa92643 years agoPolepole alisema bado tunakopesheka. Naaliwaambia wahusika waseme. 1
@
@emmanuelpeter89923 years agoMama kumbe una nia njema ukikamilisha miladi hiyo 2025 kitaeleweka.
@
@Mamatonny20653 years agoHongera mheshimiwa rais samia. nakuunga mkono kwa harakati za kuleta maendeleo ya tanzania.
@
@ibbyikh17883 years agoPesa ya kukopa inaleta mandereo pale inapotumika ktk mandereo lakini ukikopa alafu pesa iende ktk mifuko ya wachache sawa na kujaza maji ktk tenga.
@
@alexanderdustan88723 years agoEndelea hivo mama watu masikini watakupenda ila wahuni watakuona hufai. Kongole.
@
@saxannjo61733 years agoNapata moyo sana kusikia haya kutoka kwako.
@
@pavillioncry52413 years agoMirembe umeskia jinsi mama alivokujib e huyu ndo mama aliyesoma hayumbishwi. 1
@
@zuberikupaza11843 years agoKwenye hii hotuba ni wapi maelezo yake yanamgusa polepole? Labda nape anayekataa mradi wa umeme bwawa la nyerere! 2
@
@Ali-nl2du3 years agoMkopo wa kujenga si tatizo. Tatizo ni mkopo wa consumption, ambao hauzalishi kitu. Kazi iendelee mama. Tuharakishe kufika drc mapema. Hiyo nchi mungu kaipa utajiri wa ajabu. 1
@
@manchalijob96003 years agoWatanzania tunataka tren ya umeme hatutaki ya mafuta.
@
@josephatnyamageu10463 years agoUtekelezaji hakuna, usubutu hakuna, maamuzi hakuna, siasa hii ni hataree. 1
@
@zachariahariohay3593 years agoMakamba anakwamisha mradi wa bwawa la nyerere mwuondoe.
@
@musicosmas71573 years agoJaman viongozi kuweni na macho mbele hii nchi ni yetu zote kama mmeona mama hawezi mbuge likae lijadili ili kuona nmna ya nchi yetu *.
@
@hamismabula58133 years agoRasilimali tunazo nyingi! Tatizo ni usimamizi, wanaokopa tuwaige wakati sisi tuna rasilimali kibao! Sisi ndo tungekopesha!
@
@danielworshiper60023 years agoKwani huko nyuma wewe ulikua wapi? si ulikiwa makamu wa nchi hi.
@
@jmtz60443 years agoMuondoe makamba na wapumbaf wengine nape mtoe kabsa hata kimvuli chake kisiwepo fcm.
@
@fortunatuskituli54113 years agoSaiti ya mama ataakichukia huwezi jua utaambiwa na macho yake, hoja ya supika kua nchi itauzwa sioni matiki yake, kwani tozo hazitoshi kufanya. ...Expand
Related videos for Samia Amvaa Nape na Polepole Siwezi kukubali haya yanayosemwa yaendelee, Mbona Wakati hayakuwepo:
keep it up! We will continue supporting you and your govt. 2
nakuunga mkono kwa harakati za kuleta maendeleo ya tanzania.
huyu ndo mama aliyesoma hayumbishwi. 1
si ulikiwa makamu wa nchi hi.
hoja ya supika kua nchi itauzwa sioni matiki yake, kwani tozo hazitoshi kufanya . ...Expand