karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika tambi za nyama ya kusaga
mahitaji yake
tambi
nyama ya kusaga
vitunguu
karoti
hoho
chumvi
mafuta kidogo ya kupikia
cumin
binzari ya manjano
curry powder
soy sauce
mamasita sauce
tui la Nazi/coconut cream
tomato paste
limao
chakula hiki unaweza kukifanya kama mlo wa asubuhi, mchana au hata usiku. karibu uangalie na ujifunze mapishi haya, usisahau kulike na kuacha comment yako hapo chini na kama ni mara ya kwanza usisahau kusubcribe channel yetu.