Duration 39:55

Wanasema Zari anawatumia Tiffa na Nillan kumnasa upya Diamond, wengine ni kumnyoosha Tanasha | RECAP

12 178 watched
0
273
Published 24 May 2020

Bofya hapo chini kutazama video ya ngoma ya Mabeste #BackOff /watch/8GrByglR3tORB Siku za hivi karibuni, Zari The Bosslady amekuwa karibu na ex wake, Diamond Platnumz kupitia watoto wao, Tiffah na Nillan. Watoto hao wameshiriki pia kuipromote ngoma mpya ya Diamond na WCB Quarantine, kitu kilichokuwa cha nadra siku za nyuma. Hii ina maana gani? Ni ishara kuwa wawili hawa wanaweza kurudiana tena? Tunajadili kwenye #Recap

Category

Show more

Comments - 102