Duration 3:24

Hatimaye Rais MAGUFULI Akabidhiwa Ripoti ya CCM Maamuzi yake ni Haya

7 311 watched
0
32
Published 21 May 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 21 Mei, 2018 amepokea ripoti ya tume aliyoiunda kuhakiki mali za chama, iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa tume hiyo Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Category

Show more

Comments - 4