Duration 20:14

MAADUI 7 AMBAO NI VISABABISHI VYA BIASHARA NYINGI ZA WANAWAKE KUFA MAPEMA

333 watched
0
5
Published 19 Oct 2020

Please watch: "SIRI HII YA UFANYAJI WA MATANGAZO INSTAGRAM HAUTAAMBIWA" /watch/AkAm4eQykrvym --~-- Wanawake wengi wamakuwa na uthubutu mkubwa sana kwenye maisha yao lakini wengi pia wamekuwa ni watu wa kufanya hiki na kuacha,wengine mpaka wanashindwa kuelewa tatizo ni nini. Kwa siku ya leo mimi nataka kukupatia majibu ambayo yatakusaidia kuepukana na hii hali ya kufanya biashara na kufa na kushindwa kubadilisha maisha yako kabisa. Unachotakiwa kufanya ni kujitahidi kupitia somo hili kwa umakini zaidi. #wanawake #ongezamauzo #biasharanaujasiriamali

Category

Show more

Comments - 8