Duration 5:34

WIMBO MAALUM wa Kumuenzi DK.MENGI | NURUELY

259 738 watched
0
1.2 K
Published 3 May 2019

NYIMBO MAALUM Ya Kumuenzi DK.MENGI | NURUELY Msanii Nuruely Mbowe Kutoka Tanzania akiwa na BAND yake ya THE RAFIQ CLASSIC BAND wameandaa wimbo Maalumu kwajili ya Kumuaga na kumuenzi Marehemu Dkt Reginald Mengi Mkurugenzi wa IPP MEDIA Wimbo umefanyika katika Studio za ENZOLI zilizopo Manzese na Picha jongevu "video " imefanywa na Muandaaji JOHNSON MARTIN (JXBRAND) #KWAHERI #REGINALD MENGI /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 312
  • @
    @damianmachilutv11675 years ago Big up my brother Nuruelly kwa track hii, kama unamkubali nuruelly gonga like hapa 267
  • @
    @christopherkimani35985 years ago Pole kwa ndugu wa Tanzania hapa Kenya tuko nanyi wakati huu kwa kumpoteza mtu wa maana kwenu 99
  • @
    @loshilulukumay72035 years ago Duuuu huyu Nuruely ndo yule wa zamani zile aisee hongera sana kaka umeimba vizuri sana big up 16
  • @
    @kastohamza64895 years ago Aise Kaka Muimbaji Mungu awaongoze katka maisha yenu Maana nyimbo hii Inauzunisha sana na kutufunza tufanye mema kabra ya kutujia Siku hii Ya Kutisha.+ 1
  • @
    @diwanikatayankonko26715 years ago Nuruelly gemu linakumisi....what a talent,,,what a song.... 7
  • @
    @khadijastephanie83075 years ago Wimbo wenye ujumbe mzuri sana asante kaka kazi ya Mungu haina makosa Mungu amlaze malipema peponi mzee Mengi
  • @
    @jacobmasyaga12935 years ago Nuruelly, one of the Best Bongo Fleva Partisan of the early days. Bravo a good Vocalist his Next Song. Keep up the Pace! 22
  • @
    @lukafrancoisb73685 years ago Katika nyimbo zote za kuwaenzi waliyo fariki huu wimbo ni number 1 ni wimbo nzuri tena unaleta huruma ndani ya moyo. The best song 2
  • @
    @queeneva37095 years ago I CAN
    I MUST
    I WILL
    BE RICH THAN REGINALD MENGI
    WE HAVE REAL LOST SOMEONE IMPORTANT.
    19
  • @
    @doramstafa54375 years ago R.I.P mzee wetu mungu akupunguzie adhabu ya kaburi ...tutakumbuka daima melele na jina lako litazidi kuwepo duniani!!! 19
  • @
    @felisterfrancis48715 years ago Upumzike kwa imani ......tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi
  • @
    @finahenly645 years ago Nimelia. ...siwez kusema kwa heri moyo unakataa 45
  • @
    @phoebemmanga2995 years ago Oh Watoto wako umewaachia nani, Wenye mapungufu ya viungo umewaachia nani??? Wimbo umeniliza. R I.P. DR. REGINALD ABRAHAM MENGI. 13
  • @
    @janethkimaro34105 years ago Ni kweli hatuwezi kusema kwa heri. Mtu mwema anaejali wenye shida na walemavu. Inahuzunisha sana, ni masikitiko makubwa, Eee Mungu umlaze mahala pema peponi ikikupendeza Mungu tuma malaika wako aje k uzibe pengo kwa walemavu na wenye shida mbalimbali ktk taifa letu. Amen ...
  • @
    @merinajuma71735 years ago Nashndwa hta niandke nn nikikifkilia kifo mungu akupe kauri njema baba 40
  • @
    @halunyemanueli82695 years ago mwachie mungu sisisote wake mungu Hakuna jinsi poleni Sana tunaudhuni sote mungu tu
  • @
    @adelinapetro40055 years ago Mungu ata mlipa alicho panda duniani pumzika kwa amani baba yetu
  • @
    @leokamil20755 years ago Dah kweli inauma R.I.P. Mungu warehemu wote waliotangulia mbele za haki. 11
  • @
    @samsonmagwisha23015 years ago What a song Nuruell you are call in music is in reggae tune, you make me sad to high degree. After deeply pain & saying good bye Baba Mengi. As your fan I'm waiting another tune to comfort & rehabilitate my mood coz this tune pushed me to dangerous feelings. ...
  • @
    @halunyemanueli82695 years ago poleni Sana wana familiia kwa kipindi kigumu Kama hiki nasema polen
  • @
    @sophiasway5305 years ago Hakika alivipiga Vita vilivyo vizuri na hatimaye mwendo ameumaliza,Mungu akampe punziko la milele akafurah na malaika mbinguni😭😭😭😭 7
  • @
    @Roggy27115 years ago Wimbo mzuriii mpk nimesikitika kwa uchungu... Rest in Paradise our beloved one Reginald Mengi 4
  • @
    @hyasintakundy3695 years ago Sleep well dady see you again tutakukumbuka kwa vingi tuu ..😢😢😢 14
  • @
    @najatmngazija15475 years ago Pole kwa familia zima kwa ujumla na taifa lote, pumzika kwa amani Dr.Mengi inauma sana , msiba hauzoeleki jaman😭😭😭😭 4
  • @
    @saramassoy15935 years ago Ni mfano wa kuigwa dunia na mbinguni Mwenyezi Mungu ampokee kwake na amsamehe pale alipojikwaa. 2
  • @
    @nduyehgechanel84765 years ago Dr. Reginald Mengi umetutoka inauma sana.
    Nakaa nawaza mzeenakumbuka ulikuwa na mipango mingi ya kuendeleza nchi yetu yakiwemo ujenzi wa viwanda mbalimbali Kama kiwanda cha simu na Magari. Leo umeondoka, nawaza nani WA kuendeleza mawazo yako mazuri. Daaaaaa inauma sanaaa ...
    9
  • @
    @gabrielmichael37385 years ago Inasikitisha lakini ushukuliwe mungu kwa kuwa kazi yako haina makosa daima tutakumbuka mema yako
  • @
    @kiondothomas35605 years ago Pumzika kwa amani mzee wetu dr.regnad mengi hakika utakumbukwa kwa mema ulotenda katika kipindi kifupi cha hapa duniani mungu akupe nuru ya mwangaza na tukutane kwenye Ile asubuhi njema tuliyoahidiwa wana wa adamu 🙏🙏🙏 1
  • @
    @dionisiamgina64115 years ago Pumzika baba yangu Sijui nisemeje tu ila mungu ndo anajua ulivo libeba tafa kwa kudeal na walemavu, masikini n.k
  • @
    @esaumakele74765 years ago Ewe mwanadamu tambueni kunakuzariwa na kufa, kazi ya Mungu aina makosa,
  • @
    @nazirnoor41605 years ago Kama kawaida, Nuruel.
    R I P mzee Mengi
    4
  • @
    @johnpesambili48065 years ago Poleni wapendwa mungu awatie moyo, Tunashukuru kwa wimbo mzuri wa kuomboleza, mungu awabariki sana. Sisi ni wasafiri duniani sio nyumbani kwetu.
  • @
    @queenafyshebah96985 years ago Rest in Paradise Dk MENGI,poleni wa Tanzania wote Mwenyezi Mungu awatie nguvu Kwa huu wakati mgumu... 5
  • @
    @helenjonsob57185 years ago MUNGU anajua dhawabu ya mengi hakika hawezi muacha
  • @
    @nebathkalolo7235 years ago nice song special fo a hello MENGI we will remember all the time
  • @
    @emilydavidmdoe35525 years ago wimbo unahuzunisha sana.Pumzika kwa amani,Mengi
  • @
    @devothamchami76855 years ago Duuu inauma saana? Yesu mwenyewe alikufa binadamu tutakwepea wapi? R. I. P baba
  • @
    @elicegelard50265 years ago Upumzike kwa Aman mzee wetu. Mungu ailaze roho yako mahali pema pepon. Mungu alitoa Mungu ametwaa Jina lake Lihimidiwe. Polen wanafamilia na taifa kwa ujumla. 7
  • @
    @judithmelvinealuchio89685 years ago congratulations guys for a great last respect song for an East African hero rest in antarnal place mengi
  • @
    @moseskizondo75355 years ago Pumzika kwa amani Mzee wetu tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi.I can,I will and I must tutakkumbuka daima 1
  • @
    @deboramoris64825 years ago Surrey nimelizwa na huu wimbo jamani RIP Mengi 1
  • @
    @peterthomas2735 years ago RIP Dr, your legacy will live forever in this country.. 1
  • @
    @cecymaro13745 years ago daaaaaaah r..i..p Dr regnaldi mengii 😢😢
  • @
    @eliasjilanga23205 years ago Dah,,,,,, polen sana ndugu na jamaa mungu ndo hakim wa kweli hapa dunian mengi fika salama tuko nyuma yako
  • @
    @alfarsiali27795 years ago Hapa dunian tunapta tu jamn makaz yetu ni akhera tujiandaen tulio bak jmn tuiyandae kesho yet yan hata km ni tajir kiac gan lkn hautaweza kuish milele au useme mda ukiisha ulipie ili uish tena😥😥 hapn tujihadin saana kutoa pale m.mungu anapotujaalia kwan ndyo twaiyandaa kesho. ... 16
  • @
    @stahimilmassawe85405 years ago Siwez kusema kwaheri moyo unakaa,mungu umpe raha ya milele
  • @
    @zainabuyasin81895 years ago Tangulia baba mungu akulaze mahali pema pepon inauma😭😭😭😭
  • @
    @leodgandunguru16955 years ago Ameimba kimaadili kabisaaa, bila kuwakela watu, wimbo unatoa pole kwakweli ubalikiwe, na marehemu apumzike kwa amanii, say AMEN
  • @
    @josephsilla22715 years ago Pumziko la Milele Umpe ee Bwana na mwanga wa Milele amwangazie amina.
  • @
    @lainessmushi86475 years ago Sina chakusema najikuta moyo unauma sana juu ya msiba huu ewe mugu wa mbingu na nchi mlaze mahali pema baba huyu ,japo ulisema ningumu tajili kuingia ufalme wa mbinguni lakin natumain kwa baba huyu u mahali pazuri huko kwayale haliyo tenda R.I.P, MENGI. Tutakukumbuka daima nenda salama ...
  • @
    @nexakadeus78555 years ago Rest in peace Mengi,, mwenyez mungu akupe kauli thabiti 2
  • @
    @bwanahisanyanginywa90235 years ago kwaheri baba yetu. Mungu akulaze mahali pema peponi
  • @
    @sulemankileo57795 years ago R.I.P Mangi tutamiss busara na uruma zako saan .....
  • @
    @elentasvisionworldwide34795 years ago Daaaah inauma sannaah!!
    😢😢😢😢😭😭😭
    1
  • @
    @rachaeldavid43965 years ago naumizwa sana na msiba wako ingawa hata ckujui live nmekujua kupitia mitandao tangulia baba sote njia ni moja nasi tunakuja nyuma 17
  • @
    @ibrahimutenga45045 years ago Mungu ailaze roho ya Marehem mahali pema pepon. 1
  • @
    @robertjunior99165 years ago Mungu atabaki kuwa Mungu ni fundisho kubwa sana kwa walio baki
  • @
    @musasimba36895 years ago Kama umemuona jamaa alovaa jezi ya Simba gonga like R I P
  • @
    @sheysarahnjeno93265 years ago Dunia tunapita pumzika kwa amani mzee wetu.MENGI
  • @
    @winfridadeogratias63015 years ago Pole Jack kuachiwa watt wadogo hv. Mungu mwema jikaze Dada.
  • @
    @longinemuhumba38045 years ago R.i.p mzee mengi..ila hii ngoma kali sana ukiisikiliza kwa umakini zaidi.
  • @
    @elijahlinus54505 years ago R.I.P Mr. Mengi Regnard.Mwenyezi Mungu awape nguvu na ujasiri wafiwa.
  • @
    @kelvinmnyamoga20655 years ago Mungu awabariki Sana wimbo wa faraja mzuri wenye hisia RIP
  • @
    @fidelisolomi23035 years ago Nashindwa kujizuia Wimbo umeniliza duuhhh, pumzika kwa Amani mpendwa wetu
  • @
    @khadijak30655 years ago Poleni watanzania na pamoja na jackline maskini tusisikilize ya watu mtakie mumeo safari njema apokelewe na malaika usiosoninesho moyo kwa maneni ya. Watu mengi alikuwa mume wako dunia nzima tunajuwa R.I.P. mwamba Wa kimachame mungu akuangazie mwanga Wa milele. Amen ...
  • @
    @mussamkalawa21015 years ago Daaaaah nimelia sana hasa walemavu aliokua akiwasaidia ,,,,rest in peace Mengi
  • @
    @salomebonifasi49365 years ago haki nmelia sijui Dada jack anajisikiaje vile watot wadogo duh mungu akupe ujasiri my sister
    sio muda kuendeleza maneno ya kashfa mungu ndo anajua kila kitu cha hapa duniani.
  • @
    @suleimansuleiman54985 years ago wimbo unatufunza kua tuyaenzi MEMA ya Reginald. R.I.P 2
  • @
    @octaviankaliyodeogratias60305 years ago Pumzika salama Ndugu yetu kipenzi cha roho ya Watanzania 1
  • @
    @mudarisuburhan71825 years ago APangalo mungu webina dam huwezi pangua .....sisi tulio baki tuombe mwisho mwema swala kwanza.. 1
  • @
    @Jolly_Jollyk5 years ago Rest in peradise Baaba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 forever you will be rememberd RIP 1