Duration 4:1

Marekani ni kujiwekea mafuta mwenyewe Petrol Station, NO MUHUDUMU

241 938 watched
0
1.8 K
Published 25 Aug 2017

Umeshawahi kufikiria kwenda Petrol Station halafu ukajihudumia mwenyewe kujaza mafuta kwenye gari lako bila Muhudumu yeyote kukusaidia? Marekani ni miongoni mwa nchi ambazo hawana Wahudumu kwenye vituo vya mafuta... ni wewe mwenyewe unajiwekea mafuta.... TAZAMA KWENYE HII VIDEO INAVYOFANYA KAZI

Category

Show more

Comments - 260