Duration 10:42

Muhadhara Kati ya bibilia na quran kipi kitabu Cha Mungu by Francis ndacha

Published 28 Sep 2020

TAZAMA MDAHALO KATI YA YESU NA MOHAMMAD NANI WA KUTEGEMEWA /watch/MDDcPSf1hTC1c Muhathara Kati ya waislamu na wakristo IPI dini ambayo inafaa kufuatwa. Ni mijadala uliofanywa naye mwalimu wetu Francis ndacha na Yusuf wambugu.je Kati ya Yesu na Mohammad mtume yupi mkuu na wa kweli. Ukiskiza utagundua ujanja ambao waislamu wanatumia kudanganya watu wa Mungu bila kujua wanawapeleka motoni. Mungu akubariki sana unapozidi kupata elimu ya kimbingu na ufanye uamuzi uliobora leo na wala si kesho Mkutano ambao waislamu waliona moto mjini njiru /watch/s95=t&APtw6Yj1Z6O1= #Francisndacha

Category

Show more

Comments - 11