Duration 8:6

HUITAJI KUTENGENEZA MANDA TENA,PIKA SAMBUSA ZAKO HIVI

64 139 watched
0
0
Published 30 Apr 2021

huitaji kutengeneza manda tena,pika sambusa zako hivi,ni njia rahisi sana na ya hataka,na itakupatia matokeo mazuri sana,sambusa ni tamu sana na nzuri sana kwa recipe zingine za sambusa bonyeza link hii

Category

Show more

Comments - 70
  • @
    @doramgaya4673 years ago Wow Asante sana dada nitajaribu kutengeneza
  • @
    @ummohammed83803 years ago Masha allah umetufunza kitu kipya allah akuzidishie fikra zaid Thank you
  • @
    @HadijaSheban3 years ago MashaaAllah mpenzi ni mwendo wa viazi shukran sanaaaa🙏🙏🙏yaani leo sishikiki😂😂hii mpya kweli love 3
  • @
    @deborafisoo93673 years ago MashaaAllah nimependa tena haina garama Asante dear 1
  • @
    @cookwithmsoo3 years ago This is great love 😘 this is a win...so time saving.. really loved it That filling is goals love😋
    Limau is a game changer, the outcome is so Crunchy aki.. wah . These samosas are calling out my name 😋😋😋
    3
  • @
    @veejobson45813 years ago Waooo nimejifunz jamn niliach maan so kuugua huku mgongoo dear thanks 1
  • @
    @sophiaahmad64383 years ago Shukran sana but sauti ya mziki imekuwa too much 12
  • @
    @sarathomas56052 years ago Nafatilia sana page yakoo pia naomba nielekeE jinsi ya kutengeneA kau au mzigo wa kuni
  • @
    @habibashabani25673 years ago Mashaallah nimependa hii njia. Ila ni kwa nini zimeota mapele???
  • @
    @piliathumani12383 years ago Ngoja nijaribu hivo mna sijawahi kupatia kutengeneza manda ahsante. 1
  • @
    @jacklinesarakikya72103 years ago Barikiwa jamni maana kila ukiwaza hio Manda kuitengeneza na hamu ya sambusa zenyewe inakata 1
  • @
    @ummuhkhalfan55423 years ago Nlikuwa napenda kupika sambusa ila nkawa nashindwa na manda ila kwa sasa aaah tenah fasta tuu asante dada 1
  • @
    @peterlukaku20223 years ago Wow!asante sana, kwa hiyo hata za biashara unaweza ukatumia hiyo njia?
  • @
    @shamsaamos31303 years ago Umeniweza kwa maana mi sipendi kutengwneza manda 1
  • @
    @bahatirngulika44933 years ago Jaman sauti ya mziki kubwa sn hata hatukucikii next time ipunguze plzzz
  • @
    @liliankoku37523 years ago Shukrani ila nauliza mbona zina upele? Shida ni nini? 1
  • @
    @fatumakhaliki71293 years ago Ukitaja uzio waunga tu wanakupa humo madukani ama kunajina lingine?