Duration 3:58

ASKARI POLISI AUWAWA NA MAJAMBAZI KWA KUPIGWA RISASI TAZARA DSM

144 592 watched
0
174
Published 11 Feb 2013

Askari wa jeshi la polisi ameuwawa na majambazi baada ya kupigwa risasi ya kichwani huku wengine wawili wakiwa katika hali mbaya baada ya kujeruhiwa vibaya katika eneo la Mchicha Tazara jijini Dar es salaam.

Category

Show more

Comments - 16