Duration 26:37

AMBER RUTY NA MUME WAKE WAFUNGA NDOA MARA YA PILI/AANGUSHA KILIO/TUME-UPDATE NDOA YETU/NAJIONA MPYA

25 304 watched
0
234
Published 21 Jun 2020

SIKU ya jana Amber Lulu na mpenzi wake Davil wamevalishana tena pete ya ya kwa madai ya Update penzi lao na ndoa ya kwa ujumla kwani wamepitia misukosuko mingi.

Category

Show more

Comments - 667
  • @
    @rosechild50214 years ago I laughed so hard i nearly pee myself. 3
  • @
    @doriceukwama94514 years ago Dah. Tunashukuru mnatutoaya kuwaza shida zetu tunaangalia utahira wenu. 111
  • @
    @thabitnasibu14364 years ago Ila msiwabeze sana jamani wakati mwingine waombeeni dua wafike mbali! 23
  • @
    @MrAmuhinde4 years ago I love it, mungu awabariki mdumu na ndowa yenu. 3
  • @
    @agnesmwita24744 years ago Tz ukifa kwa stress basi umeamua mwenyew. 89
  • @
    @brandinakizito35414 years ago Nani alieona sugu za devi kwenye mikono. 6
  • @
    @maimunamwaren58854 years ago Yan nilikua nahasira leo mawazo lkn dah we mpiga picha mungu anakuona. 1
  • @
    @rukiamwakinyo53244 years ago Mwenyez mungu nakuomba unipe miaka mingi ya kuishi hapa duniani happy father' s day to me. 1
  • @
    @mwanahalimamwachili96794 years ago Mchicha Ulianza Kama M,buyu,Mabrooq Hongereni Vyenye Mlipatana Mkiwa 2,Mkikosana Pia Mfunge Midomo Yenu.Kila la kheri. 4
  • @
    @zuhuramsuya68744 years ago Kweli nimecheka mpaka rah yani mume niondolea hasira mana kunamtu aliniboa atari. 3
  • @
    @wilsonrobby43644 years ago Hawa watakua na mapungufu ya akili akyamungu koti km la mjomba nishai. 24
  • @
    @zubedasima18644 years ago Mmh mungu awasaidie mana kama si akili zenu sijui mnakwama wapi.
  • @
    @maylynmayor64974 years ago Advertising the wedding dress.
    hustling is real.
    anyway i love the dress some1 should marry me please.
    6
  • @
    @estermbise42774 years ago Hii ndoa imefungwa fungwaje? Mbona haieleweki.
  • @
    @esterdoriye43044 years ago Eti surprise kati umevaa kabisa shela hahahahaa raha sana. 1
  • @
    @husseinsalimmaula42544 years ago Bongo nomaaa mapicha picha tu kila siku.
  • @
    @user-xy8mh5id1l4 years ago Jamani hongeren kama umeskia mbuyu kama mchicha.
  • @
    @zuukim76944 years ago Cjawah kucheka hv, haya ngoja nicheke ili stress nlzo nazo zpungue.
  • @
    @hishamadnan19774 years ago Hawa wanalaana kwa kweli. Mungu awaongoze hawa. Kwa kweli hawajuiinaskitisha sana!
  • @
    @remikimola95574 years ago Mmh ndoa nitakatifu lakn watu wamegeuza nimchezo wakuugiza.
  • @
    @babymansouth11644 years ago Mmesikia mchicha unaanza kama mbuyu amba vituko mungu awabariki sana mkifa mzikane wallah msiachane k abisaa raha jipe mwenyewee kweli nyie mnajua kujipa rahaa. 8
  • @
    @khamoshmikidadi92624 years ago Koti km limetundikwa kwny henga kha n iyo ndoa wamejifungisha wenyewe hawa hawajaozeshwa n mt. 1
  • @
    @bimumaulid11714 years ago Sasa hivi fanyeni biashara acheni kufirana hadharani. 1
  • @
    @rukiamsomi68694 years ago Hi jamani hii ndoa ya ngapi nyinyi si mlisha owana ila uyo bhana hajapendeza.
  • @
    @ollgfgv98724 years ago Ku update ndoa wangapi washawahi ku update ndoa zao nani kaiona pete ya buza. 1
  • @
    @joslinchuwa12984 years ago Yani cna mbavu nimecheka mpaka nimelia jamani mungu nisamehe.
  • @
    @happysalva94804 years ago Jamani yani mimi hawa uwaga siwaelewi maybe ndo wame okoka ivo. 2
  • @
    @dalianakerefu4904 years ago Hi move inaitwaje jamani ila mtangazaji huendi mbinguni eti koti la jeje.
  • @
    @kessynurutajiri49404 years ago Mmmh! Hamna la maana. Mlivyopeleka polisi mlikuwa hamuhitajiani? Hamna cha maana hapo. Pete mbele ya waandishi wa habari? Kwio. 4
  • @
    @fridahkabiritho21654 years ago Kwani mtangazi anatangaza mpira mbn cjakuelewa mm.
  • @
    @dottnatt71104 years ago Kiki hizi jamenii. Haya tunashukuru kwa kututoa stress. 3
  • @
    @kimmenelus78354 years ago Yaani cjui hata bwana harus anakunywa nini hapo
    nawatakia ndoa njema.
    8
  • @
    @khadijaodumo4154 years ago Nimekwama hapo kwa koti na long' i ya jejemtangazaji wewe mungu anakuona. 1
  • @
    @lissapoul52274 years ago Hakuna siku nimecheka kama leo. Hawa watu walitakiwaga kuwa makomedi. 4
  • @
    @shufaiyammohd56234 years ago Hi suti ya bwana harusi veepee mbona kubwa km blauzii. 2
  • @
    @shufaiyammohd56234 years ago Kalklet ni calculate
    duh. Jamani.
  • @
    @jocyalex79574 years ago Hakika kwenye ndoa huo kunakugombana na kupatana mimi nakwanza nawapongeza nawaona niwatu ambao ni majasiri sana hamjali maneno yawatu endeleeni kupendana wapendwa.
  • @
    @utapatatabusanautanyooka26004 years ago Yan hawa ndoo wanawapa faida watuhawa. 2
  • @
    @chantalgakima22764 years ago Hawa mataira wamenifanya nicheke kwa sauti. 6
  • @
    @roselinasandi65094 years ago Ama kweli ndege wanaofanana huruka kw pamoja paa.
  • @
    @mamahusein44764 years ago Sasa. Bwana arusi anachibuaga ila ktk harusi ameshindwa kujichubua.
  • @
    @ratifayahaya98334 years ago Yani awa. Wasenge unaweza kuwatia vibao.
  • @
    @abdulgeuka39854 years ago Mende kala shuti mzee wa mavi yani hapo ndio umekamilika kuwa mende zaidi.
  • @
    @halimahamis39074 years ago Huyu kk nimpoleee au anaumwa? Mbona ivyo.
  • @
    @robinsenuwizeye37784 years ago Harusi zisokuwa nawazazi wao sinilana iyo kweli. 4
  • @
    @madammanka27314 years ago Ama kweli kila mwenye stress apitie hapa
    i love tz. Stress free zone.
  • @
    @bentyomary90444 years ago Nimecheka jamani wanavituko watu koti la jeje sijalielewa.
  • @
    @hildembilinyi73464 years ago Hilo koti sijui haukupima kaka daa ukisimama kituko.
  • @
    @raymondmsuya71274 years ago Hawa watu huwa nawapenda wananitoa stress japo sidhani km ni wazima wa akili.