Duration 18:19

SHEKHE KIPOZEO: MIZIGO YA KICHINA/ KUONGEZA MKE/MZEE YUSUPH KUIMBA/WANAOMPONDA AKIZUNGUMZIA MIZIGO

37 660 watched
0
191
Published 17 Jun 2020

SHEKHE Kipozeo amefafanyua kwa wale wanaomsema vibaya akizungumzia Mizigo

Category

Show more

Comments - 77
  • @
    @sideboy27394 years ago We carry mwambie mfanya kazi wako aulize maswali ya msingi anamuuliza shekhe et vp kuhusu wanaume wanaovaa ereni sasa unategemea shekhe aseme wavae au. 2
  • @
    @omanoma54463 years ago Shekhe, kipozeo, nakupenda, sana, lakini, nipo, mbali, tena, nakupenda.
  • @
    @leilamehbub9484 years ago Asc my favourite sheikh anapenda ukweli na wala haogopi yeyote isipokuwa allah mashallah.
  • @
    @leilamehbub9484 years ago Jamani mwacheni sheikh akisema mzigo hamanishi mambo mengi hiyo mnadhani la. 2
  • @
    @sanuranassoro76604 years ago Shekh wa maana hafanyiwi interview na wahuni. 3
  • @
    @twaibumikidadi73774 years ago Ya
    akili zina gredi
    safi kabsaaa
    nakupata sana shek n id="hidden2"h wanguu!
    ndoo shekh cc tunakueleqaa sana wala ucwe na khofuu
    . ...Expand 1
  • @
    @kadulathumani75174 years ago Nakupenda interviewer. Maswali yako yametulia kwa skh kipozeo ingawa majibu yake skh mengine anayabana bana tunafaidika sana na ma story tv. Like it.
  • @
    @officialkamdudu4 years ago Kwa kweli mimi swala la nyimbo katika uislam haijalishi unaimba nini kwa kweli bado linanipa ukakasi kwa sababu uislam umeharamisha ala za mziki.
    aya tumuachie allah ndiye mjizi zaidi.
    5
  • @
    @ismailyussuf18054 years ago Shk wangu kipozeo wachaneni na huyo mwandawazimu. Nae. Mwambieni a click youtube ya jennifer grout. Aone from muzic to recite the holly qur' an. 2
  • @
    @hemedmselem48894 years ago Yeye mwenyewe huko siku za nyuma alipinga nyimbo zote
    na alikua akuwasema sana waimn maulid na kaswida
    leo anasema ni ruhsa kuimba
    ni shekhe ambae haeleweki tu.
    2
  • @
    @athumanmakale82214 years ago Shekh kipozeo ushapoteza dira. Huna jipya.
  • @
    @gojvon1164 years ago Sheikh huyu kwa kweli inaonesha kuwa ni mtu mzima na mwenye busara na hikma sana na ni mtu anaempenda allah na kumuogopa na mtu mtaratibu na mwenye kufahamu na kuelewa.
    allah ambariki sana.
  • @
    @drnathanstephen.38824 years ago Haha sheikh kipozeo yupo vzr sana.
    pitia na channel yangu upate kujua mengi kuhusu afya yako. Mada mbalimbali za afya zipo huko.
    2
  • @
    @mustaphambwana79444 years ago Shehe mzigo ana penda mizigo yani misambwanda ndo yake ana penda wadada walio nona viswaswadu kwake hapana yani uyu mzee noma kweli. 2
  • @
    @daudi.gilago58464 years ago Rojah bahna hyo salam umetoa kama we mwisalam kwel. 2
  • @
    @athumanmakale82214 years ago Kipozeo naye amerudi mjini kazi kubwa ni kusifu wasanii wa muziki. Kutoa fatwa ambazo hazina kichwa wala miguu. 1
  • @
    @omariselemani39624 years ago Yani
    nyinyi
    mnayokomenti < en7"br />usenge
    kwaniakipenda
    mizigo
    kunashidagani
    kwaniyeye
    sibinadamu
    au
    kweli
    hakilikunagred
    .
    ...Expand 1
  • @
    @sabrinasab29104 years ago Huyu shehe anapenda wadada walonona nyuma ndo zake uyo. 2
  • @
    @alihijiiddi89774 years ago Waharibifu ni waimbaji ndio wanaharibu watu wanasiyasa na mativii botailikuwa nyerere alikuwa anatizama tv kwa kuangaliya nchigani zimepata uhuru.
  • @
    @shaloboy38614 years ago Nyimbo zote haram sheikh ameteleza kias kama binadam inaeleweka mana akuna aliekamilika na elmu utofautiana. 4
  • @
    @ummialey63914 years ago Nyimbo za heri ndo nyimbo gani shehe tunapenda ufafanuzi.
  • @
    @sudaissoud36704 years ago Nyote ndo walewale. Nawe pia kipozeo ndo hao.
  • @
    @ambrosiamlinga84024 years ago Basi una choyo kusema hupendi thawabu ziende kwa watu wengine
    wewe ni shehe wa wapi mwenye choyo?
  • @
    @saidmarley40494 years ago Huyu sheikh fake kama simu za kichina. Vp unasema nyimbo inafaa ambapo ina mkaribisha shetani kupoteza watu kwenye maaswiya? 1
  • @
    @messiomy86554 years ago Salaf ndo wenye dinii. Wootee hawa waigizaji tu. Huyo sheh na anaemuongelea. Wote ngma droo.
  • @
    @twaibumikidadi73774 years ago Ya
    akili zina gredi
    safi kabsaaa
    nakupata sana shek n id="hidden9"h wanguu!
    ndoo shekh cc tunakueleqaa sana wala ucwe na khofuu
    . ...Expand 1
  • @
    @omariselemani39624 years ago Yani
    nyinyi
    mnayokomenti < en14"br />usenge
    kwaniakipenda
    mizigo
    kunashidagani
    kwaniyeye
    sibinadamu
    au
    kweli
    hakilikunagred
    .
    ...Expand 1